Mh Dr mary mwanjelwa akabidhi msaada wa magodoro 20 na mashuka 40 ambayo gharama yake ni milioni moja na laki mbili akikabidhi mbele ya mkuu wa wilaya wa mbeya katibu wa mbunge tumaini ambakisye alisema kuwa mh mbunge yupo kikazi atakaporudi hatakuja kuwaona waanga wa shule ya iyunga mbeya.
MWAKILISHI WA MBUNGE TUMAINI AMBAKISYE AKITOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA KWA WANAFUNZI IYUNGA SEKONDARI .PICHA NA VIDEO (HARUBU KABWE)