Jumatatu, 19 Oktoba 2015

LOWASSA GUMZO MBEYA UWANJA WAZIDIWA WATU WAZIMIKA MBEYA

 Mgombea Urais kupitia Vyama Vinavyounda Ukawa  Edward Lowassa Akiingia Vwanja Vya Ruanda Nzovwe na Mgombea Ubunge Kwa Tiketi ya Chadema Joseph Mbilinyi (Sugu)
 Mgombea Urais Edward Lowassa Akiwasalimu Watu Waliojitokeza Kwa Wingi Katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe
 Kiongozi Machachari Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Akiwasilimu Wakazi wa Mbeya
 Mwenyekiti wa Chadema Free Man Mboye Akiwa Anawautubia Wakazi wa Mbeya
Mh Waziri Mkuu Mstaafu Fredrik Sumaye Akitoa Maneno kwa Wananchi waliojitokeza kwa wingi