Jumamosi, 29 Agosti 2015

MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MH MAGUFULI AFUNIKA MBEYA

 Mh Magufuli akiwa anaingia katika viwanja vya Ruanda Nzovwe Mkoani Mbeya
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Godfrey Zambi Akiwa anamnadi mh magufuli
 Mshereheshaji wa Chama Cha Mapinduzi Mkoani Mbeya Mwakipesile akiwa anatoa neno
 Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna akiwa akiwa anamwaga sera zake
 Mh Mary Mwanjelwa ambaye amechaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu akiwa anateta jambo na Mh John Pombe Magufuli katika viwanja vya Ruanda Nzovwe
 Mh Mbunge Mstaafu Mwanjala akiwambia wana mbeya yeye bado ni mwanachama wa CCM
 Shishi baby Snura mama wa viuno akiwa anawapa burudani wakazi wa mbeya waliojitokeza kwa wingi katika kumlaki Mh magufuli
 Hapa ni Magufuli na Shitambala vijana hawa wazalendo wa chama cha mapinduzi CCM wakiwa wamejipaka rangi ya kijani na manjano
 Kweli CCm mbele kwa mbele Mwanachama huyo akiwa amejipiga chata la magufuli
Mh nchemba na Mary Mwanjelwa wakiwa wametulia wakisikiliza wana CCM wenzao