Mgombea Udiwani Kata ya Majengo Joseph Mwasampeta akiwa anajinadi kwa wapiga kura wake
Wanachama wa Chadema wakiwa wanamsikiliza Diwani wao akiwa anamwaga Sera zake
Mgombea Ubunge Viti maalumu kwa tiketi ya chama cha Chadema akiwa anaselebuka
Vijana wa Bodaboda nao hawakuwa mbali na mkutano huo wa diwani Mwasampeta