Jumanne, 25 Agosti 2015

COCACOLA KWANZA YAIFUNZA TZ PRISONS KWA BAO MBILI KWA MOJA KATIKA MICHUANO YA UJIRANI MWEMA


 Wachezaji wa timu ya CocaCola kwanza wakishangilia bao la ushindi dhidi ya Tanzania Prisons
Hapa ni Kazi tu ilikuwa patashika nguo kuchanika baina ya mshambuliaji wa Tz prison na CocaCola kwanza