Jumatatu, 27 Aprili 2015
YANGA BINGWA WA TANZANIA 2014 / 2015
Timu ya yanga hatimaye wamekuwa mabingwa wa ligi kuu 2014/2015 na kufanya kuchukua makombe yakiwa 25 hadi sasa kwa maana hiyo yanga itakabidhiwa kombe lake mechi ya mwisho dhidi ya ndanda fc mkoani mtwara magoli ya yanga yamefungwa na hamis tambwe magoli 3 huku goli la 4 likifungwa na simon msuva na goli la kufutia machozi lilifungwa na bantu admin timu ya polisi hali imekuwa tete kwani hadi sasa wanahitaji miujiza kuifunga mbeya city katika mchezo wake wa mwisho