Jumatano, 24 Juni 2015

uzoaji taka jijini mbeya umekuwa ni tatizo wakazi wake wamelalamika kukaa kwa takataka muda mrefu


 takataka zikiwa zimezagaa ovyo katika maeneo ya uhindini jijini mbeya wakazi wa maeneo hayo  wamelalamikia ukaaji taka muda mrefu na kushauri uzoaji taka uludi mfumo wa zamani wa madampo kwa kuwekwa taka sehemu kuliko ilivyo sasa .

gari ya kampuni ya uzoaji taka  ya asakys investment ilifika muda mchache baadae na kuondoa takataka kama unavyojionea maeneo yakiwa safi. hata hivyo meneja oparesheni wa asakys investment alisema wao ratiba zao ziko kama kawaida za uzoji taka na kuwashauri wakazi wa maeneo ya uhindini mbeya wasiwe na wasiwasi katika swala la uzoaji taka.