Ijumaa, 18 Desemba 2015

KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHER YAFANYA PROMOTION YAKE MKOANI MBEYA LEO YA SHINDA NYUMBA

Wacheza shoo wa Kikundi cha Kwanza Quarity Wakitoa burudani Kwa Wasomaji wa Magazeti ya Global
Hapa Kazi tu Ndio maneno yaliyokuwepo kwenye Burudani ya Kutambulisha wasoma Magazeti ya Global Publisher.
Mdau wa Magazeti ya Global Publisher akiwa anakata kuponi baada ya kuijaza