Mh.Edward lowassa katikati akiwa ameibeba fomu ya UgombeaUrais kwa tiketi ya Chdema kuwakilisha (UKAWA)
Wanachama wa Chadema wakiwa na mabango leo hii katika Makao makuu yao wakimuunga mkono Mgombea Urais anayewakilisha Ukawa kupitia chama chao.
Mmoja wana CCM aliejitokeza kumuunga mkono Mh. Edward Lowassa katika kuchukua fomu kugombea Urais, Ambapo ilitokea taswira tofauti kwa wafuasi wa CHADEMA kuonesha hali ya upendo na furaha kwa kumbeba juu huku wakiimba nyimbo ya kusema chadema ,chadema ,peoples power.