Mwenyekiti wa Vijana Wilaya ya Mbeya Mjini Kushoto Matukuta akibadilishana mawazo na kiongozi mwenzie
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Allen Mbasha akiwa katika pozi maeneo ya Iwambi Mbeya
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa wanawasikiliza Wagombea Ubunge leo kata ya Itiji.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi akiwa anamkaribisha kada aliyejiunga na chama chake akitokea Chadema siku ya leo katika Kata ya Itiji.