Jumatatu, 11 Mei 2015
GARI LA MWENYEKITI WA CHADEMA MBEYA MJINI LAPIGWA MNADA
Mwenyekiti wa chadema mbeya mjini bwana John mwambigija gari yake aina ya canter mitsubishi imepigwa mnada leo katika ofisi za TRA mkoani mbeya kwa kushindwa kuilipia mapato hata hivyo mwambigija alionekana ana la kufanya na kumuona mtu ambaye alikuwa na mawazo na kutingisha kichwa muda wote.ilikuwa imeanza kwa kusema milioni 1,2,3,mpaka 10.pamoja na hayo Askali wa jeshi la polisi naye alionekana ni mtu wa mawazo muda wote wa mnada. gari lake lilipokuwa likipigwa mnada wa hadhara lakini mungu si athumani alifanikiwa kuokoa gari lake aina ya hiace toyota.