Jumapili, 10 Mei 2015
KAJUNA CUP YAZINDULIWA KWA KISHINDO
Mashindano ya KAJUNA CUP yazinduliwa rasmi leo katika viwanja vya shule ya msingi mbata na nzovwe mgeni rasmi wa michezo ya leo alikuwa ni AMANI KAJUNA ambaye ameaomba vijana kutumia mashindano hayo kama ajira kwao .kauli mbiu ya mashindano hayo isemayo VIJANA NA MAENDELEO mashindano ya kajuna cup yalizikutanisha timu za Stendi fc na Mafiati fc katika uwanja wa shule ya msingi mbata ambapo hadi dakika ya 90 inapulizwa na mwamuzi timu ya mafiati imejishindia magoli 2 kwa 1 dhidi ya stendi fc na katika uwanja wa wa shule ya nzovwe kulikuwa na mchezo kati ya Iyunga fc na Nzovwe city