Jumanne, 7 Aprili 2015

BAADHI YA KATA ZA JIJINI MBEYA ZIMEONEKANA KUSHINDWA KUSIMAMIA UZOAJI TAKA KAMA ZILIVYOAGIZWA



Baada ya kufanya vizuri kwa kampuni ya ASAKYS INVESTMENT katika kuendeleza huduma ya kusafisha kata mbili ya SISIMBA na FOREST hali hiyo imeoneka ndivyo sivyo katika mitaa mingine ya jiji la mbeya huku taka zikionekana kuzagaa maeneo mbalimbali ambapo kata ya MAENDELEO imeonekana bado haijapata mtu wa kuweza kusafisha taka katika kata hiyo tumeweza kumtafuta diwani wa kata hiyo Mh.shiyo tumeambiwa yupo safarini tunakuahidi tutaendelea kuweza kumtafuta Mh diwani wa kata hiyo ili aweze kulitolea ufafanuzi swala hilo kama tayari wamekwisha ipa kazi kampuni yoyote au bado.