Ijumaa, 10 Julai 2015

msanii wa muziki na filamu nchini h baba afanya majaribio toto african

Msanii wa muziki nchini h baba akiwa mazoezini na timu ya toto african ni katika kuakikisha  anataka kulisakata kabumbu katika msimu huu wa ligi kuu unaotarajiwa kuanza mwezi ujao