Dabi Nyingine Hiyo ni Azam Federation Cup Mbeya City na Tz Prisons Sokoine Stadium
Ukisikia habari ya mjini basi ni siku ya tarehe 27 mwezi huu Siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Sokoine ni kombe la azam federation cup nani mbabe itajulikana siku hiyo usikose ni shiiidah