Timu ya mbeya city jioni ya Leo imeibuka na ushindi wa goli moja dhidi ya timu ya mwadui fc katika uwanja wa kumbukumbu wa SOKOINE goli la timu ya mbeya city lilifungwa mnamo dakika 48 kipindi cha pili kupitia ditram nchimbi ambaye alionekana kusumbua safu ya ulinzi ya mwadui iliyokuwa inaongozwa mgeveke.sifa kubwa zimwendee beki wa timu ya mbeya deo Julius aliweza kuokoa nafasi nyingi dakika zilizokuwa zinakwenda katika lango la timu ya mbeya city.mwamuzi wa kati kennedy mapunda toka dar ikiwa imesalia dakika nne mchezo kabla kumalika haruna boban alilambwa kadi nyekundu baada ya kujidondosha eneo la Atari.