Alhamisi, 16 Aprili 2015

KATIKA KUELEKEA MCHEZO KATI YA SIMBA NA MBEYA CITY OKWI NJE


Uongozi wa simba umesema mchezo wao wa mbeya city mchezaji wao wa kutumainiwa emanuel okwi hatocheza kwa sababu ana kadi za manjano  hivyo hatocheza mchezo huo wamesema timu yao ipo tayari kuivaa mbeya city katika uwanja wa sokoine siku ya jumamosi na kuwaomba wadau wa soka katika mkoa wa mbeya kujitokeza kwa wingi ilikujionea soka lenye mvuto wa hali ya juu .Jana timu ya tz prisons imepoteza mchezo wake dhidi ya mtibwa katika uwanja wa manungu baada ya kufungwa bao moja kwa bila nao mgambo wameladhimishwa kutoa suluhu ya tasa na azam fc