Jumatano, 17 Juni 2015

mwaiteleke cup : hatimaye yametimia timu ya ilemi fc leo imeingia hatua ya fainali baada ya kuifunga timu ya stendi fc kwa mikwaju ya penati

 timu ya taifa kama wanavyojiita wakiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya mchezo wa leo
stendi fc kama wanavyojiita wazee wa ng'ata ng'ata wakiwa kwenye picha ya pamoja  leo
mchezaji hatari wa ilemi fc  meshack akiwa na mpira akitaka kumtoka beki wa stendi fc
 shabiki wa timu ya ilemi fc akiwa anafanya mabo yake katika mchezo wa leo dhidi ya stendi
 shabiki wa stendi fc kwa jina maarufu masanja akiwa katika pozi na kamera ya harubutz
hawa ni mashabiki wa stendi fc wakiwa wanatoa burudani kwa mashabiki wao uwanjani