Jumatatu, 8 Septemba 2014

MALAFYALE CUP 2014 YAINGIA MGOGORO

Yale mashindano moto yanayoendelea jijini mbeya MALAFYALE CUP yameingia mgogoro mkubwa kati ya kamati ya mashindano na vilabu.kamati ikitaka 16 bora huku vilabu vikitaka  8 bora  .HARUBUTZ, ikiongea na mkurugenzi wa mashindano charles mwaipopo amezungumzia  shida iliyopo sio pesa wadhamini wamemuomba hatua ifanyike ya 16 bora kwa hiyo chanzo cha ugomvi ndio huo .Hata hivyo tumeongea na (MUFA) imeonekana ina kigugumizi kutoa maamuzi. Hata hivyo vilabu 8 vimesema vitakwenda mahakamani kusimamisha ligi kama maamuzi yatakwenda tofauti.majibu yatapatikana leo saa 12 jioni kama ni 8 bora au 16 bora .